NZEGA BRANCH

Nzega tunapatikana mtaa wa NTINGINYA karibu kabisa na kituo cha mafuta cha GUDAL. Kwa mawasiliano zaidi gusa kitufe hapa chini.👇🏻👇🏻

SHINYANGA BRANCH

Shinyanga tunapatikana mtaa wa JULIUS NYERERE Karibu na NSSF ya zamani.

MASWA & BARIADI

Kwa safari za mkoa wa SIMIYU kwa sasa tunatoa huduma katika wilaya za MASWA na BARIADI. Usipate taabu fika katika ofisi zetu zilizopo Bariadi mjini mtaa wa BUTIAMA karibu na UTALII COLLEGE. Wasiliana nasi kwa simu hapa chini.