UPAKIAJI KWA HARAKA
Tunapakia na kukufikikishia mzigo wako popote ulipo kwa haraka na bei nafuu.
USALAMA WA MZIGO WAKO
Kwa zaidi ya miaka kumi (10) tumekuwa wazoefu katika usafirishaji wa mizigo ya aina mbalimbali. ni kipaumbele chetu kuhakikisha mzigo wako unaupokea ukiwa salama.
HUDUMA KWA WATEJA
Kwa kuimarisha huduma, tunapatikana masaa zaidi ya kumi na tano ya siku. tumefanya hivi ili kuhakikisha tunakamiolisha mahitaji ya wateja wetu.
kupakia mizigo katika maghala mbalimbali
Kwa ajili ya kuboresha huduma, MBUSHI CARGO TRANSPORTER Tunao wajibu wa kufuata mizigo katika maghala mbalimbali yaliyopo ndani na nje ya Jiji la Dar es salaam.
MLANGO KWA MLANGO
Tunafanya delivery mlango kwa mlango. Toa taarifa sahihi ya anwani yako.
Tutakufikia popote ulipo
International Shipping
Send your packages to destinations worldwide with our reliable international shipping services.
express parcel delivering.
Tunasafirisha parcel mikoa yote TANZANIA. Huduma hii ni ya haraka sana kwani tunatekelza mahitaji ya mteja. fika ofisini kwetu Dar es salaam, Jangwani Mafuso.